My Life is... Mochalicious!

Why 'Mochalicious'? Because my life is full of bitter and sweet days. Here, you the reader will take a journey into my life.......daily experiences and encounters. Mum, if you read this.....I love you!

Mein Foto
Name:
Standort: United Kingdom

Complex, romantic, nice, independent, stubborn, selfish and strong at heart. I like to say am like marmite......you either like me or you don't. Simple!

Montag, August 08, 2005

KWANI?

Manzee.....ever since London ilishinda bid ya Olympics, ni stori tuu mbaya tunaskia. Kwani ni nini inaendela huku jo?

Kwanza, the following day kuna wasee wana lipua huko city. Then, two weeks later the same thing. Bahati haku mtu alidie kwa hiyo you pili.

Pili, tunaanza kusikia ma stori za wasee wanauliwa juu ya ngozi au kwa sababu ameongea kwa basi ati msee awachee kutupia watu chakula.

Manzee hata siku hizi sipendi kuwatch news kwa sababu ni stori tuu mbaya unasikia.

The only miracle out of a bad situation ni ile ndege ilianguka huko Toronto. Mungu yu nasi!